caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nisaa, Aya 44

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 92 · 4:44

أَلَمْ تَرَ إِلَى ٱلَّذِينَ أُوتُوا۟ نَصِيبًا مِّنَ ٱلْكِتَٰبِ يَشْتَرُونَ ٱلضَّلَٰلَةَ وَيُرِيدُونَ أَن تَضِلُّوا۟ ٱلسَّبِيلَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterJe, hukuwaona wale waliopewa fungu katika Kitabu wanaununua upotovu na wanataka kwamba mpotee Njia?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHuwaoni wale waliopewa sehemu ya Kitabu wananunua upotovu na wanakutakeni nanyi mupotee Njia?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70