وَءَاتُوا۟ ٱلنِّسَآءَ صَدُقَٰتِهِنَّ نِحْلَةً فَإِن طِبْنَ لَكُمْ عَن شَىْءٍ مِّنْهُ نَفْسًا فَكُلُوهُ هَنِيٓـًٔا مَّرِيٓـًٔا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wapeni wanawake mahari yao hali ya kuwa ni kipawa. Lakini wakiwatunuku kitu kwayo kwa roho safi yao, basi kileni kiwashuke kwa raha.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wapeni wanawake mahari yao hali ya kuwa ni kipawa. Lakini wakikutunukieni kitu katika mahari, kwa radhi yao, basi kileni kiwashuke kwa raha.