caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nisaa, Aya 174

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 92 · 4:174

يَٰٓأَيُّهَا ٱلنَّاسُ قَدْ جَآءَكُم بُرْهَٰنٌ مِّن رَّبِّكُمْ وَأَنزَلْنَآ إِلَيْكُمْ نُورًا مُّبِينًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterEnyi watu! Hakika umekwishawafikia ushahidi kutoka kwa Mola wenu Mlezi, na tumewateremshia nuru iliyo wazi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniEnyi watu! Umekufikieni ushahidi kutoka kwa Mola wenu Mlezi. Na tumekuteremshieni Nuru iliyo wazi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70