ٱلَّذِينَ يَتَّخِذُونَ ٱلْكَٰفِرِينَ أَوْلِيَآءَ مِن دُونِ ٱلْمُؤْمِنِينَ أَيَبْتَغُونَ عِندَهُمُ ٱلْعِزَّةَ فَإِنَّ ٱلْعِزَّةَ لِلَّهِ جَمِيعًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterWale ambao huwafanya makafiri kuwa ndio marafiki wandani badala ya Waumini. Je, wanataka wapate kwao utukufu? Basi hakika utukufu wote ni wa Mwenyezi Mungu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWale ambao huwafanya makafiri kuwa ndio marafiki badala ya Waumini. Je! Wanataka wapate kwao utukufu? Basi hakika utukufu wote ni wa Mwenyezi Mungu.