caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nisaa, Aya 133

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 92 · 4:133

إِن يَشَأْ يُذْهِبْكُمْ أَيُّهَا ٱلنَّاسُ وَيَأْتِ بِـَٔاخَرِينَ وَكَانَ ٱللَّهُ عَلَىٰ ذَٰلِكَ قَدِيرًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkitaka, atawaondoa, enyi watu! Na awalete wengineo. Na Mwenyezi Mungu ni Muweza mno wa hayo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkitaka atakuondoeni, enyi watu! Na awalete wengineo. Na Mwenyezi Mungu ni Muweza wa hayo.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70