caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Az-Zumar, Aya 48

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 59 · 39:48

وَبَدَا لَهُمْ سَيِّـَٔاتُ مَا كَسَبُوا۟ وَحَاقَ بِهِم مَّا كَانُوا۟ بِهِۦ يَسْتَهْزِءُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa utawadhihirikia ubaya wa yale waliyoyachuma, na yatawazingira na kuwafika yale waliyokuwa wakiyafanyia mzaha.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa utawadhihirikia ubaya wa waliyo yachuma, yatawazunguka waliyo kuwa wakiyafanyia mzaha.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70