caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Saad, Aya 37

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 38 · 38:37

وَٱلشَّيَٰطِينَ كُلَّ بَنَّآءٍ وَغَوَّاصٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tukayafanya mashetani yamtumikie, wote wajenzi na wapiga mbizi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tukayafanya mashet'ani yamtumikie, wote wajenzi na wapiga mbizi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70