caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Saad, Aya 25

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 38 · 38:25

فَغَفَرْنَا لَهُۥ ذَٰلِكَ وَإِنَّ لَهُۥ عِندَنَا لَزُلْفَىٰ وَحُسْنَ مَـَٔابٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi tukamsamehe kwa hayo. Naye kwa hakika anao mkaribisho mkubwa na marejeo mazuri kwetu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi tukamsamehe kwa hayo. Naye kwa hakika anao mkaribisho mkubwa na marejeo mazuri kwetu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70