لَلَبِثَ فِى بَطْنِهِۦٓ إِلَىٰ يَوْمِ يُبْعَثُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterBila ya shaka angelikaa ndani yake mpaka siku ya kufufuliwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBila ya shaka angeli kaa ndani yake mpaka siku ya kufufuliwa.