caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ahzaab, Aya 70

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 90 · 33:70

يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ ٱتَّقُوا۟ ٱللَّهَ وَقُولُوا۟ قَوْلًا سَدِيدًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterEnyi mlioamini, mcheni Mwenyezi Mungu na semeni maneno ya sawasawa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniEnyi mlio amini! Mcheni Mwenyezi Mungu na semeni maneno ya sawasawa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70