رَبَّنَآ ءَاتِهِمْ ضِعْفَيْنِ مِنَ ٱلْعَذَابِ وَٱلْعَنْهُمْ لَعْنًا كَبِيرًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterMola wetu Mlezi, wape wao adhabu mara mbili, na uwalaani laana kubwa."
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMola wetu Mlezi! Wape wao adhabu mara mbili, na uwalaani laana kubwa.