caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ahzaab, Aya 41

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 90 · 33:41

يَٰٓأَيُّهَا ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ ٱذْكُرُوا۟ ٱللَّهَ ذِكْرًا كَثِيرًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterEnyi mlioamini! Mdhukuruni Mwenyezi Mungu kwa wingi wa kumdhukuru.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniEnyi mlio amini! Mdhukuruni Mwenyezi Mungu kwa wingi wa kumdhukuru.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70