caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura As-Sajda, Aya 2

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 75 · 32:2

تَنزِيلُ ٱلْكِتَٰبِ لَا رَيْبَ فِيهِ مِن رَّبِّ ٱلْعَٰلَمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHuu ni uteremsho wa Kitabu kisichokuwa na shaka yoyote kinachotoka kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHuu ni mteremsho wa Kitabu kisicho kuwa na shaka yoyote kinacho toka kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70