caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ar-Room, Aya 57

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 84 · 30:57

فَيَوْمَئِذٍ لَّا يَنفَعُ ٱلَّذِينَ ظَلَمُوا۟ مَعْذِرَتُهُمْ وَلَا هُمْ يُسْتَعْتَبُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi Siku hiyo hautawafaa wale waliodhulumu udhuru wao, wala haitatakiwa toba yao.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi Siku hiyo hautawafaa walio dhulumu udhuru wao, wala haitotakiwa toba yao.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70