caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ar-Room, Aya 44

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 84 · 30:44

مَن كَفَرَ فَعَلَيْهِ كُفْرُهُۥ وَمَنْ عَمِلَ صَٰلِحًا فَلِأَنفُسِهِمْ يَمْهَدُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAnayekufuru, basi ukafiri wake utakuwa juu yake mwenyewe. Na anayetenda mema, basi wanazitengenezea nafsi zao.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAnaye kufuru basi ukafiri wake utakuwa juu yake mwenyewe, na anaye tenda mema, basi wanazitengezea nafsi zao.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70