caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Aal-i-Imraan, Aya 58

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 89 · 3:58

ذَٰلِكَ نَتْلُوهُ عَلَيْكَ مِنَ ٱلْـَٔايَٰتِ وَٱلذِّكْرِ ٱلْحَكِيمِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHaya tunayokusomea ni katika Aya na ukumbusho wenye hekima.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHaya tunayo kusomea ni katika Aya na Ukumbusho wenye hikima.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70