وَيُعَلِّمُهُ ٱلْكِتَٰبَ وَٱلْحِكْمَةَ وَٱلتَّوْرَىٰةَ وَٱلْإِنجِيلَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa atamfundisha kuandika na hekima na Taurati na Injili.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa atamfunza kuandika na Hikima na Taurati na Injili.