caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Aal-i-Imraan, Aya 196

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 89 · 3:196

لَا يَغُرَّنَّكَ تَقَلُّبُ ٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ فِى ٱلْبِلَٰدِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKamwe kusiwadanganye kutangatanga kwa wale waliokufuru katika nchi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKabisa kusikudanganye kubakia kutangatanga kwa walio kufuru katika nchi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70