caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Aal-i-Imraan, Aya 150

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 89 · 3:150

بَلِ ٱللَّهُ مَوْلَىٰكُمْ وَهُوَ خَيْرُ ٱلنَّٰصِرِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBali Mwenyezi Mungu ndiye Kipenzi Mlinzi wenu. Naye ndiye mbora wa wanaonusuru.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBali Mwenyezi Mungu ndiye Mlinzi wenu, naye ndiye bora wa wasaidizi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70