وَٱتَّقُوا۟ ٱلنَّارَ ٱلَّتِىٓ أُعِدَّتْ لِلْكَٰفِرِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ucheni Moto ambao umeandaliwa kwa ajili ya makafiri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa uogopeni Moto ambao umeandaliwa kwa ajili ya makafiri.