caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Aal-i-Imraan, Aya 115

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 89 · 3:115

وَمَا يَفْعَلُوا۟ مِنْ خَيْرٍ فَلَن يُكْفَرُوهُ وَٱللَّهُ عَلِيمٌۢ بِٱلْمُتَّقِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa heri yoyote wanayoifanya, basi hawatanyimwa malipo yake. Na Mwenyezi Mungu anawajua wacha Mungu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa kheri yoyote wanayo ifanya hawatanyimwa malipwa yake. Na Mwenyezi Mungu anawajua wachamngu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70