caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Ankaboot, Aya 4

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 85 · 29:4

أَمْ حَسِبَ ٱلَّذِينَ يَعْمَلُونَ ٱلسَّيِّـَٔاتِ أَن يَسْبِقُونَا سَآءَ مَا يَحْكُمُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAu wale wanaotenda maovu wanadhani kwamba watatushinda? Ni hukumu mbaya mno hiyo wanayohukumu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAu wanadhani wanao tenda maovu kwamba watatushinda? Hukumu mbaya hiyo wanayo hukumu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70