caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qasas, Aya 81

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 49 · 28:81

فَخَسَفْنَا بِهِۦ وَبِدَارِهِ ٱلْأَرْضَ فَمَا كَانَ لَهُۥ مِن فِئَةٍ يَنصُرُونَهُۥ مِن دُونِ ٱللَّهِ وَمَا كَانَ مِنَ ٱلْمُنتَصِرِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi tukamdidimiza yeye na nyumba yake katika ardhi; wala halikuwepo kundi lolote la kumnusuru kando na Mwenyezi Mungu, wala hakuwa miongoni mwa wanaojinusuru.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi tukamdidimiza yeye na nyumba yake katika ardhi; wala halikuwepo kundi lolote la kumnusuru kwa Mwenyezi Mungu, wala hakuwa miongoni mwa wanao jitetea.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70