caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qasas, Aya 69

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 49 · 28:69

وَرَبُّكَ يَعْلَمُ مَا تُكِنُّ صُدُورُهُمْ وَمَا يُعْلِنُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa Mola wako Mlezi anayajua viliyoyaficha vifua vyao, na wanayoyaweka hadharani.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa Mola wako Mlezi anayajua yaliyo ficha vifua vyao, na wanayo yatangaza.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70