caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Qasas, Aya 33

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 49 · 28:33

قَالَ رَبِّ إِنِّى قَتَلْتُ مِنْهُمْ نَفْسًا فَأَخَافُ أَن يَقْتُلُونِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema, "Mola wangu Mlezi, hakika mimi nilimuua mtu katika wao, kwa hivyo ninahofu wataniua.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkasema: Mola wangu Mlezi! Hakika mimi nilimuuwa mtu katika wao, kwa hivyo naogopa wataniuwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70