caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Naml, Aya 48

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 48 · 27:48

وَكَانَ فِى ٱلْمَدِينَةِ تِسْعَةُ رَهْطٍ يُفْسِدُونَ فِى ٱلْأَرْضِ وَلَا يُصْلِحُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa walikuwamo mjini watu tisa wakifanya uharibifu katika nchi wala hawafanyi mambo kutengenea.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa walikuwamo mjini watu tisa wakifanya ufisadi katika nchi wala hawafanyi la maslaha.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70