caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Naml, Aya 17

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 48 · 27:17

وَحُشِرَ لِسُلَيْمَٰنَ جُنُودُهُۥ مِنَ ٱلْجِنِّ وَٱلْإِنسِ وَٱلطَّيْرِ فَهُمْ يُوزَعُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa alikusanyiwa Suleiman majeshi yake ya majini, na watu, na ndege; nayo yakapangwa kwa nidhamu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa alikusanyiwa Sulaiman majeshi yake ya majini, na watu, na ndege; nayo yakapangwa kwa nidhamu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70