فَإِنَّهُمْ عَدُوٌّ لِّىٓ إِلَّا رَبَّ ٱلْعَٰلَمِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterKwani hakika hao ni adui zangu, isipokuwa Mola Mlezi wa walimwengu wote.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKwani hakika hao ni adui zangu, isipo kuwa Mola Mlezi wa walimwengu wote.