إِنَّ فِى ذَٰلِكَ لَـَٔايَةً وَمَا كَانَ أَكْثَرُهُم مُّؤْمِنِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika bila ya shaka katika hayo ipo Ishara; lakini wengi wao si wenye kuamini.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika bila ya shaka katika hayo ipo Ishara; lakini wengi wao si katika wenye kuamini.