وَأَمْطَرْنَا عَلَيْهِم مَّطَرًا فَسَآءَ مَطَرُ ٱلْمُنذَرِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tukawanyeshea mvua, basi ni ovu mno mvua ya waliyoonywa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tukawanyeshea mvua, basi ni ovu mno mvua ya waliyo onywa.