ٱلَّذِينَ يُفْسِدُونَ فِى ٱلْأَرْضِ وَلَا يُصْلِحُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterAmbao wanafanya uharibifu katika nchi, wala hawatengenezi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAmbao wanafanya ufisadi katika nchi, wala hawatengenezi.