caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 129

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:129

وَتَتَّخِذُونَ مَصَانِعَ لَعَلَّكُمْ تَخْلُدُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa mnajenga majengo ya kifahari kama kwamba mtaishi milele!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa mnajenga majengo ya fakhari kama kwamba mtaishi milele!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70