caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ash-Shu'araa, Aya 109

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 47 · 26:109

وَمَآ أَسْـَٔلُكُمْ عَلَيْهِ مِنْ أَجْرٍ إِنْ أَجْرِىَ إِلَّا عَلَىٰ رَبِّ ٱلْعَٰلَمِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa siwaulizi juu yake ujira, kwani ujira wangu hauko isipokuwa kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa sikutakini juu yake ujira, kwani ujira wangu hauko ila kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70