caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Furqaan, Aya 11

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 42 · 25:11

بَلْ كَذَّبُوا۟ بِٱلسَّاعَةِ وَأَعْتَدْنَا لِمَن كَذَّبَ بِٱلسَّاعَةِ سَعِيرًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBali wanaikanusha Saa (ya Kiyama). Na Sisi tumemuandalia Moto mkali kabisa huyo mwenye kuikanusha Saa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBali wanaikanusha Saa (ya Kiyama). Na Sisi tumemuandalia Moto mkali kabisa huyo mwenye kuikanusha Saa
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70