caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Noor, Aya 42

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 102 · 24:42

وَلِلَّهِ مُلْكُ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلْأَرْضِ وَإِلَى ٱللَّهِ ٱلْمَصِيرُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa ni wa Mwenyezi Mungu ufalme wa mbingu na ardhi, na kwa Mwenyezi Mungu ndiyo marejeo ya wote.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa ni wa Mwenyezi Mungu ufalme wa mbingu na ardhi, na kwa Mwenyezi Mungu ndio marejeo ya wote.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70