caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muminoon, Aya 82

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 74 · 23:82

قَالُوٓا۟ أَءِذَا مِتْنَا وَكُنَّا تُرَابًا وَعِظَٰمًا أَءِنَّا لَمَبْعُوثُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWalisema: Je, tukishakufa tukawa udongo na mifupa, ndio tutafufuliwa?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWalisema: Je! Tukisha kufa tukawa udongo na mifupa ndio tutafufuliwa?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70