أَفَلَمْ يَدَّبَّرُوا۟ ٱلْقَوْلَ أَمْ جَآءَهُم مَّا لَمْ يَأْتِ ءَابَآءَهُمُ ٱلْأَوَّلِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterJe, hawakuifikiri kauli, au yamewajia ambayo hayakuwafikia baba zao wa zamani?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniJe, hawakuifikiri kauli, au yamewajia yasiyo wafikia baba zao wa zamani?