caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muminoon, Aya 25

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 74 · 23:25

إِنْ هُوَ إِلَّا رَجُلٌۢ بِهِۦ جِنَّةٌ فَتَرَبَّصُوا۟ بِهِۦ حَتَّىٰ حِينٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHuyu si lolote isipokuwa ni mwanamume mwenye wazimu. Basi mngojeeni tu kwa muda."
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHuyu si lolote ila ni mtu mwenye wazimu. Basi mngojeeni tu kwa muda.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70