وَشَجَرَةً تَخْرُجُ مِن طُورِ سَيْنَآءَ تَنۢبُتُ بِٱلدُّهْنِ وَصِبْغٍ لِّلْـَٔاكِلِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa mti utokao katika mlima wa Sinai, unaotoa mafuta na kuwa kitoweo kwa walao.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa mti utokao katika mlima wa Sinai, unatoa mafuta na kuwa kitoweo kwa walao.