caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hajj, Aya 57

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 103 · 22:57

وَٱلَّذِينَ كَفَرُوا۟ وَكَذَّبُوا۟ بِـَٔايَٰتِنَا فَأُو۟لَٰٓئِكَ لَهُمْ عَذَابٌ مُّهِينٌ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa waliokufuru na kuzikanusha Ishara zetu, basi hao watapata adhabu ya kufedhehesha.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa walio kufuru na kuzikanusha Ishara zetu, basi hao watapata adhabu ya kufedhehesha.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70