caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hajj, Aya 42

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 103 · 22:42

وَإِن يُكَذِّبُوكَ فَقَدْ كَذَّبَتْ قَبْلَهُمْ قَوْمُ نُوحٍ وَعَادٌ وَثَمُودُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wakikukanusha, basi walikwishakanusha kabla yao watu wa Nuhu, na kina 'Aad na kina Thamud.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wakikukanusha basi walikwisha kanusha kabla yao watu wa Nuhu, na kina A'ad na kina Thamud,
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70