caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hajj, Aya 33

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 103 · 22:33

لَكُمْ فِيهَا مَنَٰفِعُ إِلَىٰٓ أَجَلٍ مُّسَمًّى ثُمَّ مَحِلُّهَآ إِلَى ٱلْبَيْتِ ٱلْعَتِيقِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKatika hao nyinyi mna manufaa mpaka muda maalumu. Kisha mahali pa kuchinjiwa kwake ni kwenye Nyumba ya Kale.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKatika hao nyinyi mna manufaa mpaka muda maalumu. Kisha pahala pa kuchinjiwa kwake ni kwenye Nyumba ya Kale.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70