كُلَّمَآ أَرَادُوٓا۟ أَن يَخْرُجُوا۟ مِنْهَا مِنْ غَمٍّ أُعِيدُوا۟ فِيهَا وَذُوقُوا۟ عَذَابَ ٱلْحَرِيقِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterKila wakitaka kutoka humo kwa sababu ya uchungu, watarudishwa humo humo, na wataambiwa: Onjeni adhabu ya kuunguza!
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKila wakitaka kutoka humo kwa sababu ya uchungu watarudishwa humo humo, na wataambiwa: Onjeni adhabu ya kuungua!