caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Anbiyaa, Aya 1

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 73 · 21:1

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ ٱقْتَرَبَ لِلنَّاسِ حِسَابُهُمْ وَهُمْ فِى غَفْلَةٍ مُّعْرِضُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterImewakaribia watu hesabu yao, nao wako katika kughafilika wanapuuza.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniIMEWAKARIBIA watu hisabu yao, nao wamo katika mghafala wanapuuza.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70