caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Taa-Haa, Aya 75

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 45 · 20:75

وَمَن يَأْتِهِۦ مُؤْمِنًا قَدْ عَمِلَ ٱلصَّٰلِحَٰتِ فَأُو۟لَٰٓئِكَ لَهُمُ ٱلدَّرَجَٰتُ ٱلْعُلَىٰ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa anayemjia Yeye naye ni Muumini na akatenda mema, basi hao watakuwa na daraja za juu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa atakaye mjia naye ni Muumini aliye tenda mema, basi hao ndio wenye vyeo vya juu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70