caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Baqara, Aya 82

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 87 · 2:82

وَٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَعَمِلُوا۟ ٱلصَّٰلِحَٰتِ أُو۟لَٰٓئِكَ أَصْحَٰبُ ٱلْجَنَّةِ هُمْ فِيهَا خَٰلِدُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wale walioamini na wakatenda mema, hao ndio watu wa Bustanini, humo watadumu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wale walio amini na wakatenda mema, hao ndio watu wa Peponi, humo watadumu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70