caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Baqara, Aya 163

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 87 · 2:163

وَإِلَٰهُكُمْ إِلَٰهٌ وَٰحِدٌ لَّآ إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ ٱلرَّحْمَٰنُ ٱلرَّحِيمُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa Mungu wenu ni Mungu mmoja tu, hapana mungu ila Yeye. Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa Mungu wenu ni Mungu mmoja tu, hapana mungu ila Yeye. Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70