caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Maryam, Aya 20

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 44 · 19:20

قَالَتْ أَنَّىٰ يَكُونُ لِى غُلَٰمٌ وَلَمْ يَمْسَسْنِى بَشَرٌ وَلَمْ أَكُ بَغِيًّا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema: Nitampataje mwana ilhali mtu yeyote hajawahi kunigusa, wala sikuwahi kuwa kahaba?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkasema: Nitampataje mwana hali mwanaadamu yeyote hajanigusa, wala mimi si kahaba?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70