caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nahl, Aya 54

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 70 · 16:54

ثُمَّ إِذَا كَشَفَ ٱلضُّرَّ عَنكُمْ إِذَا فَرِيقٌ مِّنكُم بِرَبِّهِمْ يُشْرِكُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa anapowaondoshea madhara hayo, mara kundi moja miongoni mwenu linamshirikisha Mola wao Mlezi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa anapo kuondosheeni madhara mara kundi moja miongoni mwenu linamshirikisha Mola wao Mlezi,
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70