caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nahl, Aya 109

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 70 · 16:109

لَا جَرَمَ أَنَّهُمْ فِى ٱلْـَٔاخِرَةِ هُمُ ٱلْخَٰسِرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakuna shaka ya kwamba hao ndio waliohasirika.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHapana shaka ya kwamba hao ndio wenye kukhasiri Akhera.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70